Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu bado kamshikilia mkono [emoji16][emoji16][emoji16]ila huyo dada ni kiboko yao ndio maana nigga akaamua kutoka ndani uchi wa mnyama....
Huyo nae mpuuzi tu mbona hii picha ilisambaa siku nyingi na watu tukaisifia. Waafrika kwa kujishtukia tupo vizuri
Waaaowww urojo unalipa sana daahamezaa watoto watano
huenda binti anasumbuliwa na jini mahaba mkata umeme......Halafu bado kamshikilia mkono [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo nae mpuuzi tu mbona hii picha ilisambaa siku nyingi na watu tukaisifia. Waafrika kwa kujishtukia tupo vizuri
swadaktaaa....rasmi tumeamua kufunga uzaziWaaaowww urojo unalipa sana daah
Heeeswadaktaaa....rasmi tumeamua kufunga uzazi
hiiiiiiiHeee
daktari kama huyo hata kama atanipiga sindano za makalio 10 sitohisi maumivuKorona itashindwaaa !!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daktari kama huyo hata kama atanipiga sindano za makalio 10 sitohisi maumivu
Hahah! Mzee hizo anga sifiki kabisa, sema siku moja tuunganishe nguvu tufanye full ile laana alafu na Ester awepo ubavuniHahah unazingua mzee mwenzangu.. Hili draft lako kabsa
Wasukuma (tena wote) wanaingiaje hapa kamanda? Wachaga wote pia ni CHADEMA?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa wasukuma wote ccm aiku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Mzee hizo anga sifiki kabisa, sema siku moja tuunganishe nguvu tufanye full ile laana alafu na Ester awepo ubavuni