moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Bilionea Riri akiwa Malawi akikagua na kushiriki kwa vitendo katika miradi yake ya kujitolea (ujenzi wa hospitali na uchimbaji wa visima vya maji)...
View attachment 1444181
Safi sana bro, vipi kwema?
Dogo anapambana urembo na mamake. Huyu ndo atakuwa mayai balaa siku akiosha kijiko chake mwenyewe patachimbika.
View attachment 1444270
Ziadamane
Kwangu me na watu wa familia tuko freshi lakini upande mwingine mambo ni tofauti.. mara ni mafuriko mara ni janga la COVID-19. Ata hatujui niajeBro habari yako, kwema huko
Ahsante mpendwa.Karibu vingunguti kiembe mbuzi mpendwa upate futuru😄😄
Kwangu me na watu wa familia tuko freshi lakini upande mwingine mambo ni tofauti.. mara ni mafuriko mara ni janga la COVID-19. Ata hatujui niaje
Inakwenda sawia Alhamdulillah!Kwema bro, habari za Swaumu
Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma? - JamiiForumsInakwenda sawia Alhamdulillah!
Vipi hapo nyumbani?