Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Corona Afrika mashariki na nchi jirani.

1. DR Congo 837 vifo 39
2. Kenya 621 vifo 29
3. Tanzania 509 vifo 21
4. Rwanda 273
5. Zambia 167 vifo 4
6. Uganda 101
7. Msumbiji 82
8. Malawi 43 vifo 3
9. Burundi 15 kifo 1

Chanzo;Mashirika ya habari
 
FB_IMG_1588977446191.jpeg
 
Fuata hatua hizi ili uishi wewe.
1: Ishi wewe.
Nina Maana gani hapa wengi tunaishi kwa kufuata fulani anaishi vipi ndipo na wewe uige ndiyo Maana utamkuta mtu akiona fulani amefungua duka la mafuta na yeye anaanzisha hapo hujaishi wewe umeishi yule fulani hivyo huna budi kubadilika uishi wewe.mfano unakutana na wazo jipya la biashara ili Mradi tu hiyo biashara ni ngeni utasikia ngoja ni nikamuulize fulani unaenda kuuliza ukiuliza atakwambia hiyo huwezi fulani alifanya akashindwa nawe utaweza kweli? Basi kwa vile huishi wewe na umeamua kuuliza na tayari uaminifu wako uko hapo kwa asilimia mia na tayari amekwambia huwezi basi wazo lako hapo litakuwa limekwisha huwezi kujaribu ten na ndoto yako itakuwa imeishia hapo sababu ni nini hukuishi wewe bali umeishi fulani.
 
2: Changamoto ni chanzo cha utajiri wako.
Hebu nikuulize katika Maisha umekutana na changamoto ngapi he umezichukuliaje katika kuzitatua?
Kwa nini nakuambia changamoto ni chanzo cha utajiri hebu jiulize leo hii pale unapoishi ukaona kuna changamoto ya kupata machine ya kusaga inawezekana watu wanaipata hiyo huduma kijiji cha pili na wewe ukachukua uamuzi wa kutoa hiyo huduma hapo na mwisho watu wakaipata hapo karibu unadhani huwezi kuwa tajiri kwa kutatua changamoto zilizo katika jamii yako.?
 
Back
Top Bottom