Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3:Elimu ya shule silo hitimisho la umasikini wako karibu kupata Elimu ya kijamii au elimu dunia.
Watu wengi tumekuwa na fikira potofu kuwa ukisoma sana ndiyo unakuwa tajiri sikweli jiulize katika katika mazingira tunayoishi ni kweli wasomi ndiyo matajiri wengi utakuta wenye uwezo au magari makubwa mabasi ya kusafiri huku na huku so wasomi wenye madegree bali elimu yao ni ya kawaida kabisa bali elimu ya kijamii imetumika sana kuliko ya darasani .Jiulize ni kwa nini itakuwa hivyo sababu ya mfumo wa elimu tuliyo nayo tukiamini kuwa msomi ni mtu wa Kuala ofisini siyo mwenye kujishughulisha mtaani kwa kuamini kuwa anajishughulisha mtaani ni yule alive feli mtihani acha mawazo mgando jiulize wewe uliyeajiriwa na yule aliyeajiriwa ni nani kati yenu mwenye Maisha ya nafuu au mazuri utakuta ni mjasiriamali wewe unasubiri passion ili uweze kuanza kubotesha maisha kumbuka utakuwa umezeeka sasa unaacha uridhi gani kwa vizazi vyako amka leo changamkia fursa ukomboe kizazi chako .
 
4: Acha kukata tamaa.
Hapa sasa ndipo wengi hutusababisha kuwa maskini hadi kufa kwa sababu ya kukata tamaa.
Unakuta mtu ameanzisha biashara leo anataka kesho atapate faida inayozidi mtaji akipata mia au hamsini utasikia hii biashara hainilipi kabisa ukiuliza kwa nini faida kidogo yaani huwa nashangaa kabisa basi ataamua kuacha au kubadili nyingine na nyingine tena maisha hayaji kilaini hivyo jiulize anayeanzisha shule hospital I au Benki anapata faida hapo hapo hapana watu hawa huanza kuona matunda ya kazi zao zaidi ya miaka mitano lakini mbona hawakukata tamaa na hivi vitu huwa uridhi wa vizazi hadi vizazi je wewe una nini ambacho litakuwa historia kwa watoto wako na vizazi vyako .? Usilie maisha magumu huna mtaji anza na kile ulicho nacho mkononi mwako usiishie kutamani bali tengeneza mfereji wa pesa utazipata ukiamua kuishi wewe siyo mwingine.
 
5: Acha tabia ya kuridhika na kidogo ulichonacho. Tabia hii ya kuridhika na kidogo ulichonacho inaweza kukusababisha uishi Maisha ya machungu maana utaweza mimi hiki ndipo mungu amenipa umesahau kuwa mungu amesema atafutae hupewa pia mwenye nacho kingi ataongezea na mwenye kidogo atanyanyanywa hata hicho kidogo hivyo unabaki huna hivyo kama unacho kidogo ongezea Mara mbili Yale tena na tena jiulize ni kwa nini utaona mtu ni tajiri lakini halali anawaza kila siku usiku na mchana apate wapi kingine zaidi ya kile ni Sababu hajaridhika na kile alichonacho anahitaji apate kingine zaidi na wewe uona hivyo kwa sababu umeridhika na Maisha uliyonayo. Amka sasa fursa ni nyingi Tanzania hakuna atapate kuletea mafanikio nyumbani kwako pasipo kujibidisha Acha kukata tamaa haimanishi umeanguka mara ngapi umetapeliwa mara ngapi umeibiwa mara ngapi umepata hasara mara ngapi Anza na tena na tena mwisho wa siku utashinda .
 
3:Elimu ya shule silo hitimisho la umasikini wako karibu kupata Elimu ya kijamii au elimu dunia.
Watu wengi tumekuwa na fikira potofu kuwa ukisoma sana ndiyo unakuwa tajiri sikweli jiulize katika katika mazingira tunayoishi ni kweli wasomi ndiyo matajiri wengi utakuta wenye uwezo au magari makubwa mabasi ya kusafiri huku na huku so wasomi wenye madegree bali elimu yao ni ya kawaida kabisa bali elimu ya kijamii imetumika sana kuliko ya darasani .Jiulize ni kwa nini itakuwa hivyo sababu ya mfumo wa elimu tuliyo nayo tukiamini kuwa msomi ni mtu wa Kuala ofisini siyo mwenye kujishughulisha mtaani kwa kuamini kuwa anajishughulisha mtaani ni yule alive feli mtihani acha mawazo mgando jiulize wewe uliyeajiriwa na yule aliyeajiriwa ni nani kati yenu mwenye Maisha ya nafuu au mazuri utakuta ni mjasiriamali wewe unasubiri passion ili uweze kuanza kubotesha maisha kumbuka utakuwa umezeeka sasa unaacha uridhi gani kwa vizazi vyako amka leo changamkia fursa ukomboe kizazi chako .
Uzi wako pendwa [emoji28][emoji28] Numbisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bean 2.jpg
 
Hivyi, ulishawahi kujiuliza kwanini watu wengi wanaweka malengo lakini hawayatimizi? Siyo kwasababu hawataki kutimiza, bali wanafanya kila jitihada ilikutimiza malengo yao, lakini bado wanajikuta katika wakati mugumu, kwani mwisho wa siku hakuna malengo yanayotimizwa au kufikiwa.
 
Mwandishi mmoja aliwahi kusema, hauhitaji malengo bali unahitaji mfumo. Mfumo ndiyo siri ya ushindi katika kila eneo unalotaka kufanikiwa na kushinda kwenye maisha. Iwe ni biashaara, kazi, ajira na hata kwenye michezo, kinacho kuletea ushindi na kutimiza malengo yako ni mfumo, wala siyo kuwa na malengo.
 
Back
Top Bottom