Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uzi wako pendwa [emoji28][emoji28] Numbisa3:Elimu ya shule silo hitimisho la umasikini wako karibu kupata Elimu ya kijamii au elimu dunia.
Watu wengi tumekuwa na fikira potofu kuwa ukisoma sana ndiyo unakuwa tajiri sikweli jiulize katika katika mazingira tunayoishi ni kweli wasomi ndiyo matajiri wengi utakuta wenye uwezo au magari makubwa mabasi ya kusafiri huku na huku so wasomi wenye madegree bali elimu yao ni ya kawaida kabisa bali elimu ya kijamii imetumika sana kuliko ya darasani .Jiulize ni kwa nini itakuwa hivyo sababu ya mfumo wa elimu tuliyo nayo tukiamini kuwa msomi ni mtu wa Kuala ofisini siyo mwenye kujishughulisha mtaani kwa kuamini kuwa anajishughulisha mtaani ni yule alive feli mtihani acha mawazo mgando jiulize wewe uliyeajiriwa na yule aliyeajiriwa ni nani kati yenu mwenye Maisha ya nafuu au mazuri utakuta ni mjasiriamali wewe unasubiri passion ili uweze kuanza kubotesha maisha kumbuka utakuwa umezeeka sasa unaacha uridhi gani kwa vizazi vyako amka leo changamkia fursa ukomboe kizazi chako .
Ndo home sweet home[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]nmekupata mzee, Ningeshangaa sana kuona unajipeleka qibra mwenyeweSio dada nimesema "dada mpambaji"
Embu wacha kuchambua sentensi yangu kwa njia ya matawi mzee [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amekataa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niite dada ake king
Tutakuwa tunapishana sasa..Mbona mimi nipo humu kila siku?
Hakuna mtu ananificha jamani.
Poa sana,za huko kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona na rasta zake za uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amekataa
[emoji28][emoji28] yes I seeNdo home sweet home[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi vicheko sio bure.Leo unacheka tu π
Wajane wa siku hizi daah