Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakati mwingine ikibidi ni bora unyamaze na kuwaacha waone kwa vitendo kile unamaanisha maana hauwezi kujieleza kwa kila mtu.
Hivyo ni wajibu wako na uamuzi wako wewe kwa kuwa ndiwe unajua nini unataka, kuamua kwa dhati kusimamia na kufanya kile unafurahia kufanya, kile kinakupa amani moyoni, kile unakifanya bila kuhangaika au kutumia nguvu nyingi zaidi.