moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nilikuwa natembea tembea hapa kijiweni huku nikila likes. Asanteni kwa kampani Esta na Khantwe [emoji1547][emoji1547][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1447218
Pametulia wapi Korona tupu? Huoni niko peke yangu ngangari? Hovyo tu !!!Waaow kijiwen pametulia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili za usiku hizo. Ila hiyo tabia kwenye picha nilikuwa naichukia balaa, hivi bado watu wanafanya? Halafu hufanywa na wababa wale watu wazima wanaopenda vitotoBado tunaongelea half cake au kitu kingine? Akili zangu hizi dah !!!
Naomba moja yenye sura mbaya nami nionje huo utamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 1447187
Kwa vile uanachama umeota mbawa ina maana hata ubunge otomatikale hakuna ama?Nimefukuzwa kitoto sana.
Taratibu hazikufuatwaView attachment 1447243
Kwa vile uanachama umeota mbawa ina maana hata ubunge otomatikale hakuna ama?
Mwambe hakuondolewa ila alijiondoa na kujiunga kwingine,mbona nae kaitwa bungeni?Kisheria iko hivyo, lakini jambo jema mh Spika amasema hawezi kulinda udikteta ndani ya Chadema.
Kwamba yeye ndiye anayeapisha wabunge, kwahiyo hawezi kusitisha ubunge wa mbunge yeyote ayeondolewa kisultani
Wale wote automatic ubunge hawana. Spika anafanya makosa kuingiza siasa kwenye maslah ya taifa. Leo hii ccm ikimtimua mbunge uanachama ndo utaona rangi halisi ya spika kutetea katiba ya kumtimua bungen huyo mbungeMwambe hakuondolewa ila alijiondoa na kujiunga kwingine,mbona nae kaitwa bungeni?
Sijui Kwanini watu hatujaamua kuishi bila kuyategemea haya manasiasa!
Aliye tuletea siasa Afrika anatakiwa afe kwa kifo kibaya hata kama alisha kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona imetibua vingiPametulia wapi Korona tupu? Huoni niko peke yangu ngangari? Hovyo tu !!!