Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati mwingine ikibidi ni bora unyamaze na kuwaacha waone kwa vitendo kile unamaanisha maana hauwezi kujieleza kwa kila mtu.
Hivyo ni wajibu wako na uamuzi wako wewe kwa kuwa ndiwe unajua nini unataka, kuamua kwa dhati kusimamia na kufanya kile unafurahia kufanya, kile kinakupa amani moyoni, kile unakifanya bila kuhangaika au kutumia nguvu nyingi zaidi.
 
Wakati mwingine ikibidi ni bora unyamaze na kuwaacha waone kwa vitendo kile unamaanisha maana hauwezi kujieleza kwa kila mtu.
Hivyo ni wajibu wako na uamuzi wako wewe kwa kuwa ndiwe unajua nini unataka, kuamua kwa dhati kusimamia na kufanya kile unafurahia kufanya, kile kinakupa amani moyoni, kile unakifanya bila kuhangaika au kutumia nguvu nyingi zaidi.
 
Kumbuka kuogopa kufanya kitu unachokipenda kwa kuhofia watu watasemaje haikupi wewe furaha wala amani, bali itakufanya wewe kuwa mtumwa wa nafsi yako mwenyewe, hauishi wanavyotaka watu au jamii, unatakiwa kuishi kama Mungu alivyokukusudia uwe, Ukijaribu kutimiza matakwa ya wanadamu unatakiwa ujue kuwa wanabadilika kila leo, leo wanaweza kukukubali na kukupenda kwa kuwa unafanya hilo lakini using’ang’ane leo watu hao hao wakikugeuka.
 
Hizi makanisa zina pesa mingi sana kwa benki na hakuna mshirika ata mmoja zinasaidia. Pastor na church leaders pekee ndio wanajisaidia nazo.

Wakati Yesu alikuwa hapa duniani, hakuweza kujinunulia farasi na alikuwa na wafuasi wengi sana, wakati alikuwa anawahubiria hakuna kitu alikuwa anawaitisha isipokuwa maji.

Wahubiri wa siku hizi wanaitisha sadaka kila Sunday, gari yake inawekwa mafuta na kanisa hiyo, anajengewa nyumba na hiyo kanisa na analipiwa kila jambo atakalolifanya na hiyo kanisa.

Sadaka nayo ikifika mikononi mwake, anaipeleka kwa bank account ikae huko.
 
πŸ˜… πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Huyu business man wa maana sana tena anajitambua vilivyo kwa vitu zake. Kwa kanisa na akitembea barabarani, bado anafanya business advertising hukuna jambo nzuri kama hii.
 
"We jamaa umefutwa uanachama"--
ChademaView attachment 1447475
"Wewe hatukutaki"--
ChademaView attachment 1447474
"Wewe nawe hutufai"--
ChademaView attachment 1447472
"Wewe hutufai"---
ChademaView attachment 1447471
Mwenyekiti kawa mkali. Potelea mbali hata kama mamilioni ya ruzuku yanapungua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…