Hizi makanisa zina pesa mingi sana kwa benki na hakuna mshirika ata mmoja zinasaidia. Pastor na church leaders pekee ndio wanajisaidia nazo.
Wakati Yesu alikuwa hapa duniani, hakuweza kujinunulia farasi na alikuwa na wafuasi wengi sana, wakati alikuwa anawahubiria hakuna kitu alikuwa anawaitisha isipokuwa maji.
Wahubiri wa siku hizi wanaitisha sadaka kila Sunday, gari yake inawekwa mafuta na kanisa hiyo, anajengewa nyumba na hiyo kanisa na analipiwa kila jambo atakalolifanya na hiyo kanisa.
Sadaka nayo ikifika mikononi mwake, anaipeleka kwa bank account ikae huko.