Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna cabbage aina nyingi kuna green, red, savoy cabbage,Cabbage zinajulikana kuwa zatokea huko Mediterranean parts na nchi za Asian. Juice yake iko rich in beta-carotene, fiber, vitamins kama B1, B6, C, K, E, na madini kama calcium, iodine, magnesium, iron, sulfur,yenyewe kuwa na ingredients hizi ni muhimu sana kwa afya,ngozi na nywele .
 
Hizi ni faida za kiafya za Kabichi.1) Inasaidi kupunguza mwili/mafuta mwilini.So kitaalamu kabichi ambayo ni nzuri na best kwa kupunguza mafuta mwilini ni ile unayoweza kula bila kupika wanaita raw cabbage,Zina amount nyingi sana ya insoluble fiber amabayo inasaidia kuharakisha mmeng’enyo wa chakula kwenye utumbo mdogo ,na utaweza kupata choo kirahisi ,na hazina calories nyingi kitu ambacho pia kitakusaidia ku loose weight.
 
Inafanya mifupa kuwa Imara.kabichi ni source kubwa sana ya madini calcium ambayo yana saidia kukeep mifupa yako healthy and strong ,zinaweza ku control pia magonjwa kama osteoporosis ambao ni ugonjwa unaodhoofisha mifupa na inapunguza pia dalili zote za maumivu ya mifupa ukikosa madini ya Calcium.
 
Ngozi nyororo na yenye AfyaJuice ya Cabbage ina contain virutubisho ambavyo vitakufanya ujiskie younger,fresher kwa kuipa ngozi yako a nice glow,Vitamini A inapatikana kwenye cabbage inajulikana sana kwa kuipa ngozi yako afya .Pia inajulikana zaidi kwa ku improve skin tone yako ,na kama hujui kuwa ina contain Potassium ambayo ita toa sumu kwenye ngozi yako na kuipa muonekano wa mg’ao /kung’ara.
 
Ku maintain msukumo wa damu

Kuna potassium kwenye kabichi ambayo inafanya kazi ya kutanua blood vessels matokeo yake yakiwa kufanya misuli ya damu kurelax . Madini haya yanasaidia ku control kupanda kwa msukomo wa damu ambayo ikiwa vinginevyo/otherwise inasababisha magonjwa ya moyo .
 
Chunusi

Cabbage ina vitu kama antioxidants and phytochemicals, ambazo zinasaidia kufight damage yoyote ilosababishwa na free radicals kwenye ngozi,so ina act kama natural control kwenye chunusi,blemishes zile alama za chunusi zinazo haribu muonekano wa ngozi yako,pia kuna Vitamin C kwenye cabbage ambayo nayo inasaidia pia ku control rashes,na ngozi kuharibika na mwisho wa siku inatibu na kufanya uwe smooth.
 
Inarudisha ngozi kavu kwenye ubora mzuri

Humu kwenye cabbage kuna antioxidant ambayo iko very useful kwenye kuondoa ukavu wa ngozi,twajua huwa kuna ngozi za oily na zile kavu ,pia inasaidia ku control signs zozote za aging kama makunyanzi na zile fine lines ,so ukinywa juice ya kabichi itasaidia ngozi yako kuwa ya kitoto na soft,uzee mwisho wapi???
 
Inaboresha Ubora Wa Nywele

cabbage itasaidia nywele zako kwa kuanzia kwenye mizizi ya nywele ,ina contain Vitamin A and E ambayo ni essential kwa kukuza nywele na ku stimulate hair follicles. Pia inasaidia ku keeps nywele zako nourished na moisturized. Hii ni good news kwa naturlistaz
 
Vidonda vya Tumbo

Kama una vidonda vya tumbo basi vinaweza kuwa controlled na juice ya kabichi,itakeep tumbo lako na utumbo healthy kwa kutoa sumu zilizomo ndani yake,ina kitu pia kinaitwa Glutamine,ambayo inastrengthen ule ukuta mwembamba wa tumbo na kureset hiyo gastric ulcers.
 
kuzuia kuendelea kwa Cancer

Juice hii ina chemikali kama Isocyanates, Dindolylmethane (DIM), Sulforaphane and Indole 3 – Carbinol (I3C), ambazo zinasaidia kukeep away from cancer ya mapafu,tezi Dume , colon cancer,na aina nyingine nyingi za cancer na inasaidia pia kuspeed up the healing of cancer .
 
Back
Top Bottom