Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
JF aisee ina mambo sana [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu jamaa aliefukunyua mambo nampa heko kwamaana amejitahidi sana, na ametumia mda mwingi pia kumchimbua jamaa.
Bila shaka atakuwa CIA wa tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app