Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1589384722950.jpeg
 
Sis jamani. Umepotea mno. Hujambo lakini? Korona huko uliko inasemaje? Nilitaka kukuulizia jana usiku lakini mara paap nikakuona unasemeshana na Coco wako. Nikafurahi!

Mungu Aendelee kukulinda wewe pamojana wapendwa wako wote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mimi sijambo Kaka yangu mpendwa, vipi habari yako? Kwema huko ulipo? . Huku hii rona tunaendelea tu kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu iishe
 
Back
Top Bottom