Siku tano ya kesi Hellen alirudi mahakamani akiwa akiwa amevaa tena suruali
Hakimu akamwambia Mara ya mwisho ulikuja na vazi kama ulilovaa Leo... Hali iliyofanya watu kuwa busy na wewe kuliko kazi iliyowaleta hapa
Leo umekuja na vazi lileile linalowatoa watu umakini wao kwahyo tunakuomba kesho uje na vazi linalostahili na kama utaendelea kuvaa nguo hizo Basi ujiandae kupewa adhabu kulingana na sheria
Helen akamjibu hakimu nimevaa vazi hili tokea nina miaka 15, sina vazi lengine zaidi ya hili, kesho nitakuja na vazi hili na kama utanipa adhabu Basi itakuwa ni chanzo cha uhuru wa wanawake dhidi ya hili
Kesho yake siku ya kesi Hellen alikuja na vazi lile lile la suruali (slacks) Hakimu alimhukumu kwenda jela kwa siku 5Imeandaliwa na Bwana Fact