Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6. “Labda hautashindwa kama mimi nilivyoshindwa, ila, mara nyingine kushindwa hakuepukiki. Haiwezekani kuishi bila kushindwa kufanya kitu mara moja, labda uwe unaishi kwa tahadhari kwa kiasi kikubwa kwamba bora usingeishi kabisa – na hapo, tayari utakuwa umeshindwa” – J.K Rowling
 
This is how “normal people” break upView attachment 1451339
We the freaking normal can't part our ways that easily. Our ancestors must be summoned for this [emoji16][emoji16]

Kama ulikua hunijui vizur m ndo mtoto wa bi Aisha mtoto Mwenye mvuto wake, Nenda mwana kwenda natongozwa njia nzma, heeehee hapa utarud tu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmejiwazia tu

mean while US abnormal ones .." utarudisha simu yangu mshenz weew na ukiniona njiani ubadilishe maana kitu ntakufanya hamna tangi utaacha ona, kwanza mal** tu wewe

Kuachana hiyo kwiioo peleka tumbo huko ndio mana huna hela.... moja ya misemo baada ya kuachana nimewaza kwa sauti kubwaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikustahi tu na kibamia chako[emoji108]... Kwendraaaaa....

Mahusiano ya kiswahili ni shida kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom