Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikustahi tu na kibamia chako[emoji108]... Kwendraaaaa....

Mahusiano ya kiswahili ni shida kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuishi ni sayansi inayotegemea majaribio mengi.Kinachoshindikana leo kirudiwe tena kesho.Huko ndo kuishi.Usifanya kosa na kukata tama .Kufanya hivyo ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe.Ukikosa tone la maji sasa jipe moyo kuna bahari inakusubiri mbele.Rudia hicho kitu,hizo hatua hiyo shughuri naamini utaifikia bahari yako
 
Ukiteleza leo kamwe usifunge kichwa nakuamini unabahati mbaya.Una mkosi una ‘’gundu’’.Lah hasha huna hizo bahati mbaya isipokuwa Kuna kitu maisha yanakufunza.Yanasema jiandae muda wako unawadia,rekebisha kasoro hizi chache uwe mkomavu baadae.Tunawatu wengi kama mifano ambao walikata tama katika umri kama wako na leo wanavilio vya kudumu.
 
Hawana namna nyingine ila isipokuwa wanaomba muda urudi nyuma wasahihishe makosa.Makosa yaliyozaliwa na chaguzi za kukata tamaa.Walipokutana na punje moja ya mchanga waliogopa kusonga mbele.Wakizani ni lazima mbele ya safari kuna jangwa kubwa likiwasubiri.Lah hasha.Kuishi hakuko hivyo.Kuishi ni sayansi,kuishi ni majaribio, kabla ya hitimisho fanya upembuzi wa kutosha.Mimi na wewe tungali tuna muda,tungali tuna afya,tungali tuna akili,tungali tuna pumzi.Tukiunganisha vyote hivi hakika safari yetu haitavunjika na zaidi sana tutakutana ana kwa ana na bahari iliyosheheni lulu.Lulu Isiyo ndogo kwa vipimo,wala ndogo kwa kimo.Hii itakuwa sawa sawa na mapenzi yetu.Italingana na ndoto zetu,itafanana na juhudi zetu.Lulu hii haitakuwa na upendeleo.Itatii kiu kadri ya kila mmoja alivyothubutu ,kadri ya kila mmoja alivyoitafta.
 
IMG_20200515_222649.jpg
 
Back
Top Bottom