Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Washamba wengine wepesi kujichanganya wakishaingia town ujue. Yaani anakuwa wa mjni kuliko hata wewe mzaliwa, na jina hata kama naitwa, Masanja linabadilika linakuwa; Massanjaze! [emoji3] [emoji3] ... SHIMBA YA BUYENZE asipaone hapa.
Mwache Mkinga huyo. Yeye kakariri tu eti Wasukuma siyo watu. Akija kushtuka aweza kujikuta ni Mrs. Massanjazeh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…