Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unaweza kuwafahamu wangapi hapa kamanda?Tanzania one 1992-1998.
Mwameja MohamedView attachment 1451638
Unaweza kuwafahamu wangapi hapa kamanda?Tanzania one 1992-1998.
Mwameja MohamedView attachment 1451638
AiseeAmezeeka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1451869
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefunga mipaka ya nchi yake na Tanzania.
Mpaka wa Holili, Holoholo,Isebania, Tarakea na Lango kuu la Namanga yote imefungwa kwa siku 21.
Vinginevyo mipaka ya Kenya na Somalia pia imefungwa.
Hata hivyo mipaka ya Kenya na Uganda pia na Ethiopia itaendelea kuwa wazi mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
View attachment 1451921
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uoge na unyunyu upuliziwe, pasi, kiwi n.kSiku wasichana wa Nganza, Msalato au Bwiru Girls wakija uwiii [emoji16][emoji16][emoji16]
Those good ole days [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1451870
Wachezaji watatu wa timu ya taifa ya Tanzania wamepiga picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya Liberia.Unaweza kuwafahamu wangapi hapa kamanda?
View attachment 1451882
Uko vizuri [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Wachezaji watatu wa timu ya taifa ya Tanzania wamepiga picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya Liberia.
Wa kwanza kushoto ni Hussein Amani Marsha, anayefuata ni George Magere Masatu.
Na wa mwisho kulia ni Dua Said.
Wawili wa katikati wenye jezi nyekundu ni wachezaji wa timu ya taifa ya Liberia ambao sikumbuki majina yaoView attachment 1451935
😁😁 Jana nilikuwa siwapendi, leo nimerudiUmeanza lini kuwakakawana washamba? Hoooovyooo !!!