Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ikitokea hivyo wallahi naweka kitu ndani fasta...[emoji16][emoji16]we nichukulie poa tu, siku utakuja kushangaa kumbe mimi ndio eksi wako yule wa fomu wani
Naweka avatar ya nyoka sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mapenzi gani hayo na kufa na kufufuka withini 24 awazi?[emoji16][emoji16] Jana nilikuwa siwapendi, leo nimerudi
Mtakatifu Anne. Za kupotea? [emoji870][emoji870][emoji870]
Wasukuma ndio wanatakiwa kupendwa hivyoMapenzi gani hayo na kufa na kufufuka withini 24 awazi?
Watu wengine sijui mna shida gani[emoji16][emoji16] hamtaki kabisa kupendwaNaweka avatar ya nyoka sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukinipenda miye basi lipende na joka langu ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]Watu wengine sijui mna shida gani[emoji16][emoji16] hamtaki kabisa kupendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini? Kwa vile ni washamba sana ama?
Nimeona ati dawa ya maringo ni mimba[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16]we nichukulie poa tu, siku utakuja kushangaa kumbe mimi ndio eksi wako yule wa fomu wani