Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefunga mipaka ya nchi yake na Tanzania.
Mpaka wa Holili, Holoholo,Isebania, Tarakea na Lango kuu la Namanga yote imefungwa kwa siku 21.
Vinginevyo mipaka ya Kenya na Somalia pia imefungwa.
Hata hivyo mipaka ya Kenya na Uganda pia na Ethiopia itaendelea kuwa wazi mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
 
 
Unaweza kuwafahamu wangapi hapa kamanda?
View attachment 1451882
Wachezaji watatu wa timu ya taifa ya Tanzania wamepiga picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya Liberia.
Wa kwanza kushoto ni Hussein Amani Marsha, anayefuata ni George Magere Masatu.
Na wa mwisho kulia ni Dua Said.
Wawili wa katikati wenye jezi nyekundu ni wachezaji wa timu ya taifa ya Liberia ambao sikumbuki majina yao
 
"Tumeikataa hotuba ya upinzani kwakuwa mwandishi wa hotuba hiyo Halima Mdee ni moja kati ya wabunge waliojifikukuzisha wenyewe hapa mjengoni, maana wao wanaona roho zao ni muhimu zaidi kuliko wengine wote tuliobaki hapa".
Spika wa bunge
 
Uko vizuri [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…