Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
nimeanza kunusa harufu ya movie.....kakutwa na corona bila ya kuonyesha dalili yoyote."Nimepona Corona kwa tiba ya asili"--
Ni protokali mojawapo katika uongozi po pote pale. Huwezi kutoa kauli inayopingana na mkubwa wako hadharani kwa sababu inatoa picha mbaya. Labda kama una ubavu unaweza kutoa dukuduku lako faraghani kama uko tayari kumfunga paka kengele. Ila huko hadharani mbele ya halaiki wote mnatakiwa kuwa na sauti moja. Kama bado hukubaliani na mkuu wako basi unaweza kujiuzulu kuonyesha kutofurahishwa kwako na kutounga mkono suala husika. Huko kwa wenzetu kwenye demokrasia zilizokomaa na wasikotegemea siasa kuendesha maisha yao ndivyo mambo yanavyokwenda. Ndungulile angekuwa ameshaomba kujiuzulu zamani tangu alipotoa kauli hiyo; na mkuu wake ama angemsamehe na kukataa ombi lake au angelikubali lakini mtu unaondoka kwa heshima sana. Watu wasomi halafu matajiri tayari sijui kwa nini wagumu sana kuachia madaraka kwa heshima na kusimamia wanachokiamini. Madaraka matamu sana !!!Kwahiyo kumbe kujifukiza ni suala la kufa na kupona.
Kwamba usipojifukiza au kuonyesha kuchukizwa nalo unatenda dhambi mbaya inayotosha kutenguliwa.
Basi sawa
Uko deep sana....nimeanza kunusa harufu ya movie.....kakutwa na corona bila ya kuonyesha dalili yoyote.
baadae mtakatifu akaziponda mashine za kupima ugonjwa wa covid 19
baada ya wiki mbili mashine zinatuonyesha ya kwamba mama anna kumbe hakuwa mgonjwa wa corona bali ni error
baadae mama anatwambia ametumia dawa za miti shamba
ndani ya wiki mbili amepona corona.
========
kumbe dawa ya kutibu huu ugonjwa tunayo, ya nini kuwasumbua na kuwafedhehesha madereva wa malori ya mipakani
Lakini si alisema kabla msukuma hajasema?Ni protokali mojawapo katika uongozi po pote pale. Huwezi kutoa kauli inayopingana na mkubwa wako hadharani kwa sababu inatoa picha mbaya. Labda kama una ubavu unaweza kutoa dukuduku lako faraghani kama uko tayari kumfunga paka kengele. Ila huko hadharani mbele ya halaiki wote mnatakiwa kuwa na sauti moja. Kama bado hukubaliani na mkuu wako basi unaweza kujiuzulu kuonyesha kutofurahishwa kwako na kutounga mkono suala husika. Huko kwa wenzetu kwenye demokrasia zilizokomaa na wasikotegemea siasa kuendesha maisha yao ndivyo mambo yanavyokwenda. Ndungulile angekuwa ameshaomba kujiuzulu zamani tangu alipotoa kauli hiyo; na mkuu wake ama angemsamehe na kukataa ombi lake au angelikubali lakini mtu unaondoka kwa heshima sana. Watu wasomi halafu matajiri tayari sijui kwa nini wagumu sana kuachia madaraka kwa heshima na kusimamia wanachokiamini. Madaraka matamu sana !!!
Basi ana bahati mbaya....au tuhitimishe tu kuwa...
Ni kweliWasukuma siyo watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wakinga ndiyo watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
KabisaaWakinga ndiyo watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]