Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miamba ya soka
400017100962_40555.jpg
 
Kujiuzulu uwaziri Tanzania!!?
Thubutu..
Labda utishiwe kifo.
Nadhani kuna Mawaziri kadhaa ambao hawaridhishwi na vitu furani furani hivi sasa, lakini hawataki kujiuzuru, ila miaka 5 au 6 ijayo utawasikia wakiisema vibaya serikali ambayo wao nao walikuwemo.
Tuna mioyo ya ajabu sana
Ni protokali mojawapo katika uongozi po pote pale. Huwezi kutoa kauli inayopingana na mkubwa wako hadharani kwa sababu inatoa picha mbaya. Labda kama una ubavu unaweza kutoa dukuduku lako faraghani kama uko tayari kumfunga paka kengele. Ila huko hadharani mbele ya halaiki wote mnatakiwa kuwa na sauti moja. Kama bado hukubaliani na mkuu wako basi unaweza kujiuzulu kuonyesha kutofurahishwa kwako na kutounga mkono suala husika. Huko kwa wenzetu kwenye demokrasia zilizokomaa na wasikotegemea siasa kuendesha maisha yao ndivyo mambo yanavyokwenda. Ndungulile angekuwa ameshaomba kujiuzulu zamani tangu alipotoa kauli hiyo; na mkuu wake ama angemsamehe na kukataa ombi lake au angelikubali lakini mtu unaondoka kwa heshima sana. Watu wasomi halafu matajiri tayari sijui kwa nini wagumu sana kuachia madaraka kwa heshima na kusimamia wanachokiamini. Madaraka matamu sana !!!
 
Kujiuzulu uwaziri Tanzania!!?
Thubutu..
Labda utishiwe kifo.
Nadhani kuna Mawaziri kadhaa ambao hawaridhishwi na vitu furani furani hivi sasa, lakini hawataki kujiuzuru, ila miaka 5 au 6 ijayo utawasikia wakiisema vibaya serikali ambayo wao nao walikuwemo.
Tuna mioyo ya ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo yule babu mfugaji mwenye bleach la kikongo tunapaswa kumheshimu? Au alishinikizwa na aliyemteua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Health is Wealth
Suffering from BP?....... Have Potatoes
Potatoes contain a good amount of potassium, which is a good element in regulating the Blood Pressure in the body.
When you cook the potatoes, boil them along with the skin.
Potassium helps the walls of the blood vessels to relax, thus putting an end to high BP.
Post another one

kIongOzI Wa BaaDae
 
Ni kweli, nakuunga mkono.
Ugonjwa upo, lakini wanachofanyiwa watanzania na na nchi jirani ni kama visasi au kutukomesha.
Serikali ya Tanzania ifanye kitu au itoe tamko furani juu hali wanayokutana nayo watanzania kwenye nchi hizi jirani
Uko deep sana....

Japo kwenye siasa lolote lawezekana lakini huyu mama namwamini sana na sidhani kama anaweza kutumika kwa namna hii. Pengine ni wale wenye immune system nzuri ambao wala hawaonyeshi hata dalili (asymptomatic) mpaka virusi vinapotea.

Kwa hawa madereva wa malori nako kasheshe. Wengine Uganda wanaonekana positive wakifika Kenya wanakuwa negative (and vice versa). Mimi naona kama kuna mchezo fulani unachezwa na hawa viongozi wote wa Afrika Mashariki zikiwemo siasa, pesa za misaada na hata maslahi binafsi.
 
Kujiuzulu uwaziri Tanzania!!?
Thubutu..
Labda utishiwe kifo.
Nadhani kuna Mawaziri kadhaa ambao hawaridhishwi na vitu furani furani hivi sasa, lakini hawataki kujiuzuru, ila miaka 5 au 6 ijayo utawasikia wakiisema vibaya serikali ambayo wao nao walikuwemo.
Tuna mioyo ya ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump anawalima tweet tu kwamba huna kazi kuanzia leo lakini jamaa unakuta lina net worthy ya milioni 100+ na baadaye inakuja kugundulika kuwa lilishaomba kujiuzulu tangu zamani likakataliwa. Hawa wa kwetu sijui vipi japo kusema kweli hakuna waziri mwenye njaa.

Kuisema serikali vibaya wakati na wewe ulikuwa humo humo ukihondomola miaka nenda miaka rudi ni unafiki tu.
 
Back
Top Bottom