Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400011800375_231895.jpg
 
Picha la kihindi + Bongo movie
nimeanza kunusa harufu ya movie.....kakutwa na corona bila ya kuonyesha dalili yoyote.
baadae mtakatifu akaziponda mashine za kupima ugonjwa wa covid 19
baada ya wiki mbili mashine zinatuonyesha ya kwamba mama anna kumbe hakuwa mgonjwa wa corona bali ni error
baadae mama anatwambia ametumia dawa za miti shamba
ndani ya wiki mbili amepona corona.
========
kumbe dawa ya kutibu huu ugonjwa tunayo, ya nini kuwasumbua na kuwafedhehesha madereva wa malori ya mipakani
 
Back
Top Bottom