Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Relax....
[emoji123][emoji123]Relax....
Don't be too hard on yourself...
This life is very short....
Enjoy it !!!
Yame chemshwa kabisa 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Ahahahahahah hatare hiyo sasa😁😁[emoji23][emoji23][emoji23]yamechemshwa hapo kwenye mti wake, ni kuyavuna na kula tu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
African woman are the best woman in my world
nimeanza kunusa harufu ya movie.....kakutwa na corona bila ya kuonyesha dalili yoyote.
baadae mtakatifu akaziponda mashine za kupima ugonjwa wa covid 19
baada ya wiki mbili mashine zinatuonyesha ya kwamba mama anna kumbe hakuwa mgonjwa wa corona bali ni error
baadae mama anatwambia ametumia dawa za miti shamba
ndani ya wiki mbili amepona corona.
========
kumbe dawa ya kutibu huu ugonjwa tunayo, ya nini kuwasumbua na kuwafedhehesha madereva wa malori ya mipakani
Naunga mkono poat, hii dawa ninaijua , ni dawa nzuri sanaHii ndiyo dawa ya corona inatotambulika.
Babu wa Loliondo umekwama wapi?View attachment 1452309
Sent using Jamii Forums mobile app