sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,744
- 4,354
Thump up for her!
Sura kwenye ki double in pact
Nawafahamu wanawake wazuri wawili, huyu na Uwoya. Msinipopoe nimesema ninaowafahamu, wewe unaweza kuwa unawafahamu wengine
Ni protokali mojawapo katika uongozi po pote pale. Huwezi kutoa kauli inayopingana na mkubwa wako hadharani kwa sababu inatoa picha mbaya. Labda kama una ubavu unaweza kutoa dukuduku lako faraghani kama uko tayari kumfunga paka kengele. Ila huko hadharani mbele ya halaiki wote mnatakiwa kuwa na sauti moja. Kama bado hukubaliani na mkuu wako basi unaweza kujiuzulu kuonyesha kutofurahishwa kwako na kutounga mkono suala husika. Huko kwa wenzetu kwenye demokrasia zilizokomaa na wasikotegemea siasa kuendesha maisha yao ndivyo mambo yanavyokwenda. Ndungulile angekuwa ameshaomba kujiuzulu zamani tangu alipotoa kauli hiyo; na mkuu wake ama angemsamehe na kukataa ombi lake au angelikubali lakini mtu unaondoka kwa heshima sana. Watu wasomi halafu matajiri tayari sijui kwa nini wagumu sana kuachia madaraka kwa heshima na kusimamia wanachokiamini. Madaraka matamu sana !!!
Kwa hiyo yule babu mfugaji mwenye bleach la kikongo tunapaswa kumheshimu? Au alishinikizwa na aliyemteua?Kujiuzulu uwaziri Tanzania!!?
Thubutu..
Labda utishiwe kifo.
Nadhani kuna Mawaziri kadhaa ambao hawaridhishwi na vitu furani furani hivi sasa, lakini hawataki kujiuzuru, ila miaka 5 au 6 ijayo utawasikia wakiisema vibaya serikali ambayo wao nao walikuwemo.
Tuna mioyo ya ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Post another oneHealth is Wealth
Suffering from BP?....... Have Potatoes
Potatoes contain a good amount of potassium, which is a good element in regulating the Blood Pressure in the body.
When you cook the potatoes, boil them along with the skin.
Potassium helps the walls of the blood vessels to relax, thus putting an end to high BP.
Mimi nakufahamu wewe. Uwoya wala hakukaribii. Usinipopoe nimesema ninayemfahamu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nawafahamu wanawake wazuri wawili, huyu na Uwoya. Msinipopoe nimesema ninaowafahamu, wewe unaweza kuwa unawafahamu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
LikesHealth is Wealth
One key benefit associated with PUMPKIN SEEDS is the fact that they’re rich in HEART-FRIENDLY magnesium.
They’re rich in ANTIOXIDANTS which reduce inflammation, which could potentially damage the heart
LikesHealth is Wealth
Have Warm WATER with LEMON early every morning.
Lemon is great in DETOXIFICATION your LIVER, thereby helping to BURN FAT more quickly.
Warm water boosts METABOLISM and CLEANSES your system.
Kilimo cha makopa kinaendeleaView attachment 1452284
Duuh haya matusi ya rejareja sasa [emoji16][emoji16]Mimi nakufahamu wewe. Uwoya wala hakukaribii. Usinipopoe nimesema ninayemfahamu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Uko deep sana....
Japo kwenye siasa lolote lawezekana lakini huyu mama namwamini sana na sidhani kama anaweza kutumika kwa namna hii. Pengine ni wale wenye immune system nzuri ambao wala hawaonyeshi hata dalili (asymptomatic) mpaka virusi vinapotea.
Kwa hawa madereva wa malori nako kasheshe. Wengine Uganda wanaonekana positive wakifika Kenya wanakuwa negative (and vice versa). Mimi naona kama kuna mchezo fulani unachezwa na hawa viongozi wote wa Afrika Mashariki zikiwemo siasa, pesa za misaada na hata maslahi binafsi.
Ndio niniGood Morning
Walnuts are a rich source of Omega-3, making it a Fat burning food.
Makes for a great snack when you are HANGRY!!!!
Basi ana bahati mbaya....au tuhitimishe tu kuwa...
Wasukuma siyo watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wakinga ndiyo watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Trump anawalima tweet tu kwamba huna kazi kuanzia leo lakini jamaa unakuta lina net worthy ya milioni 100+ na baadaye inakuja kugundulika kuwa lilishaomba kujiuzulu tangu zamani likakataliwa. Hawa wa kwetu sijui vipi japo kusema kweli hakuna waziri mwenye njaa.Kujiuzulu uwaziri Tanzania!!?
Thubutu..
Labda utishiwe kifo.
Nadhani kuna Mawaziri kadhaa ambao hawaridhishwi na vitu furani furani hivi sasa, lakini hawataki kujiuzuru, ila miaka 5 au 6 ijayo utawasikia wakiisema vibaya serikali ambayo wao nao walikuwemo.
Tuna mioyo ya ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app