Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani lazima u-quote mkuu? Wewe gonga likes tu tusonge mbele mambo ya kuulizana ndiyo nini tulishayaacha jukwaa la siasa
kuna jamii ya wanadamu hata kama utawazawadia millioni 200 basi watakuuliza kwa nini umenipa hiyo pesa......gonga likes uende zako....maswali ya ajabu ajabu amsubirie Numbisa na makala zake za mboga mbogaπŸ™‹β€β™‚οΈπŸ™‹β€β™‚οΈπŸ™‹β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…