Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
MAGANDA YA MUHOGO Yanaondoa kovu za chunusi na kuweka sawa vishimo vilivyotoka kwa ajili ya chunusi na tetekuwanga Saga vizuri changanya na asali Paka mara 3 kwa wiki au kila siku mpaka upone