Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Faida nyingine zinaboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni ambao unamsaidia kuondoa tatizo la kutopata choo au kupata choo kigumu pamoja na maumivu wakati wa kujisaidia.
Magonjwa ya koo na puaKatika kuijua kwako ilikuwa inatibu maradhi gani kabla Corona haijafika?