google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Numbiee na sie tukipata stress tunakonda na kubaki kichwa huwa ni nn ?njia zingine unazoweza kutumia ni hizi hapa
1. kushugulisha mwili mara kwa mara
2. kufanya mazoezi mepesi ya mwili
3. kubadilishana mawazo na watu wanaokuzunguka
4. tenga mda kufanya vitu vinavyokupa furaha
5. kusikiliza musiki na kufurahi.
Sent using Jamii Forums mobile app