Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu umechoka, stress kibao kichwa kinawaka moto... Unaamua kuja hapa kijiweni, una kutana na maongezi ya hawa watu:-
SHIMBA YA BUYENZE vs Khantwe ... Ni mwendo wa malumbano tu japo ni watu wanao pendana sana

Khantwe vs Cole Williams maswali yao na majibu havioani kabisa utadhani ni wana ndoa walio fumaniana

Daemusin vs SHIMBA YA BUYENZE mwanzo mwisho ni kejeli kwa wasuku [emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa vs SHIMBA YA BUYENZE za uso ni kawaida kwao, kama kuna amani basi binti mpole ni kucheka tu

Kweli tiba sio lazima kuonana na daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 umewaza mbali. Hapa ndo home sweet home
 
Ugonjwa huu wa corona ni vita kama vita nyingine, wakati unaanza nilisema siwezi kuruhusu lockdown, imagine unafungiwa ndani hupati hata nafasi ya kuonana na Mkeo?, unafungiwa ndani eti usitembee usiku kana kwamba corona inatembea usiku tu, nikasema hapana” -JPM

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani huyo mke si wanafungiwa nae ndani
 
SWALI LA UTOFAUTI WA MAJINA
1.SASSO; Hawa ni kuku wa chotara ambao sana mchanganyiko tofauti ukisoma articles nyingine wqnasema kuku hawa wamechanganyika wa kienyeji, wa nyama lakini wengine wanasema wana kienyeji,wa nyama(broilers)na mayai(layers) kiufupi ni kuku chotara
 
2.BROILER; N kuku pia wafugwao na watu wengi hawa ni kwwajiri yavnyama pekee kuku hawa ukuaji wao ni mkubwa sana kwan wanatakakiwa kukaa nao kwa muda usiozidi week 6-8. Wawe Tatar wamesha uzwa mbali na hali utakuwa unawafuga kwa hasara tuu
 
4. CHOTARA; kama maelezo ya sasso na croiler na ni wapo wengi tu kutokana na mtu alie amua kutengeneza breed hiyo kwa kuchanganya mbegu za majogoo wa aina tofauti lengo ni kutaka kibadilisha tabia za mama na baba wa aina fulan ya kuku kupata tabia moja kwa mtoto kitaalamu tunaita crossbreeding
 
KWANINI VIFARANGA HUFA .YAFUATAYO NI MAMB YATAKAYO KUSAIDIA KATK KUVTUNZA VIFARANGA WAKO NA KUWA NA AFYA NZUR
kitu cha kwanza tambua vifaranga hupendelea kukaa juu, hivyo unatakiwa ujenge banda la ghorofa moja.
 
Back
Top Bottom