Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
“Elimu ni silaha yenye nguvu kuliko zote unayoweza kuitumia kubadilisha dunia.” -Nelson Mandela
Kauli yako imenipa nguvu, nielekeze Shamba lilipo nije kulima[emoji123][emoji123][emoji123]Vitu vyote vilivyopo Duniani tumezaliwa tukiwa hatuvijui, tukafanya jitihada kuvijua.
Kwahiyo ukiamua hakuna kitu utashindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 Ankoo una nini lakini?Mtu umechoka, stress kibao kichwa kinawaka moto... Unaamua kuja hapa kijiweni, una kutana na maongezi ya hawa watu:-
SHIMBA YA BUYENZE vs Khantwe ... Ni mwendo wa malumbano tu japo ni watu wanao pendana sana
Khantwe vs Cole Williams maswali yao na majibu havioani kabisa utadhani ni wana ndoa walio fumaniana
Daemusin vs SHIMBA YA BUYENZE mwanzo mwisho ni kejeli kwa wasuku [emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa vs SHIMBA YA BUYENZE za uso ni kawaida kwao, kama kuna amani basi binti mpole ni kucheka tu
Kweli tiba sio lazima kuonana na daktari
Sent using Jamii Forums mobile app
labda mzee anafikiri maisha ya lockdown yana ufanano na maisha ya gerezani...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani huyo mke si wanafungiwa nae ndani