Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
.Iwe urafiki wa mahusiano , vitu vyote vinajengwa na imani.bila hivyo hakuna kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mzee uliwahi kuajiriwa na kampuni zinazozalisha magazeti?
unakaa zako nje wiki 3, ukirudi unakuja na hadithi nyingiii kama babu bomba.
una habari ya kwamba babu yetu myoyambendi ameteuliwa nyadhifa ya naibu waziri wa afya?
poleni wagonjwa wa corona
poleni sanitizer
poleni ppe
poleni manesi
ambulance zirudi salama
Habari wana ndugu wa likes, leo naona nitoe shukrani zangu nyingi kwa wote walio nipa like zao, na wale ambao wahakunipa like pia nawasalimu, nakuwatakia jpili njema , Kwa pamoja mjikinge na Corona kwa namna mnavyo weza
kIongOzI Wa BaaDae
Magonjwa ya koo na pua
kIongOzI Wa BaaDae
Aisee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] umewaza mbali. Hapa ndo home sweet home
Nigeria:
Imeagizia shehena ya dawa ya kutibu Covid19 (Covid Organic) kutoka Madagascar...
Rais wao ndiyo wa kwanza kuitumia kabla haijaruhusiwa kwenda public nchini mwao...
Cc: mahondaw