Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

gabriel__tz_20200517_085320_0.jpg
 
Kila nikianzisha hoja tayari kesharukia Wasukuma siyo watu wakati Wakinga wenyewe wanachotuzidi ni uchawi tu. Nitamnyorosha !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda nakuonea huruma mzee mwenzangu japo mengi yakukutayo ni ya kujitakia kwa asilimia 100. Ila huyo japo ukaribu wenu hauja anzia hapa, mliko toka hakika kuna jambo halikuwa sawa.
Mungu ni mwema hiyo ndio tiba tuipatayo hapa jukwaani kwa kucheka na kufurahia mtifuano

Ila kuna watu wanaumiza nafsi yangu sana, kuna huyu mzee wa pwani na JIRANI, zile salaam za pole zinazo husiana na kilimo huwa zinajibiwa kwa picha mwanana,zenye afya lakini kiuhalisia shambani hali ni mbaya tofauti na picha anazozitupia mzee wa pwani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom