Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

labda mzee anafikiri maisha ya lockdown yana ufanano na maisha ya gerezani...
mwanaume analala chumba chake na mwanamke analala pake.

hawa wasukuma hawawezi kutimiza siku bila ya kumtaja mwanamke....nimeamini maneno ya shimba.. wanapenda mademu
Usha waanza wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20200516_230747.jpg
😁
 
Stress zangu huwa zinakata haraka sana nikiyakuta malumbano yako na Ze Don... "Msukuma sio mtu", "Mkinga ni mtu?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sijui lakini kumbe Wakinga nao ni pasua kichwa. Vikabila hivi vidogo dogo hivi havijulikani lakini navyo kumbe vimebeba makubwa. Nione mtu anataka kujichanganya kuoa Mkinga aisee atakiona cha moto wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nilikuwa sijui lakini kumbe Wakinga nao ni pasua kichwa. Vikabila hivi vidogo dogo hivi havijulikani lakini navyo kumbe vimebeba makubwa. Nione mtu anataka kujichanganya kuoa Mkinga aisee atakiona cha moto wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani huo ni muendelezo wa mgogoro wenu.
Asubuhi mmenichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu umechoka, stress kibao kichwa kinawaka moto... Unaamua kuja hapa kijiweni, una kutana na maongezi ya hawa watu:-
SHIMBA YA BUYENZE vs Khantwe ... Ni mwendo wa malumbano tu japo ni watu wanao pendana sana

Khantwe vs Cole Williams maswali yao na majibu havioani kabisa utadhani ni wana ndoa walio fumaniana

Daemusin vs SHIMBA YA BUYENZE mwanzo mwisho ni kejeli kwa wasuku [emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa vs SHIMBA YA BUYENZE za uso ni kawaida kwao, kama kuna amani basi binti mpole ni kucheka tu

Kweli tiba sio lazima kuonana na daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yangu kubwa iniingizayo kwenye matata ni kudandia treni kwa mbele. Siku nikija kuishinda tabia hii basi nitaishi maisha ya amani sana humu mitandaoni. Kwa sasa ngoja niendelee na maisha haya ya kubangaiza. Nikimkuta Esta hajaamka vizuri nakula za uso na siku kaamka vyema basi ni fulu vicheko na kujibiwa vyema tu na kuelimishwa. Ndiyo maisha !!!

Mkinga yeye nitaendelea kunyoroshana naye mpaka atanyoka tu....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Mpemba mzee wa urojo nilishaacha kutaniana naye rasmi huu karibia mwezi wa nne sasa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani huo ni muendelezo wa mgogoro wenu.
Asubuhi mmenichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikianzisha hoja tayari kesharukia Wasukuma siyo watu wakati Wakinga wenyewe wanachotuzidi ni uchawi tu. Nitamnyorosha !!!
 
Back
Top Bottom