Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

14) Paka Stubb alishawahi kuwa meya wa Talkeetna kwa miaka 20... Talkeetna ni mji mdogo wa Alaska ....Kwa Miaka 20 alikuwa anakosa Mpinzani wa kugombea nae... Japo paka huyo Hakuwa anashika madaraka ya kiutawala lakini alikuwa anapendwa tu na watu wa Talkeetna
 
17) Paka anayeshikilia rekodi ya utajiri zaidi duniani ni Paka Blackie...utajiri wa paundi million 7 ...ambazo kama tutazibadili kwa thamani ya pesa ya Tanzania ya sasa ...tunaweza kusema kuwa paka huyo alikuwa na zaidi ya utajiri wa Billion 20 na million 900
 
18) Kama hujawahi kumuona Twiga akitembea au kama hujawahi kumuona Ngamia akitembea Basi kamuangalie Paka akitembea... Namna paka anavyotembea ni sawa na Ngamia anavyotembea au namna Twiga anavyotembeakwahyo badala ya kusema mtoto ana mwendo wa Twiga Unaweza kumwambia tu kuwa mtoto ana mwendo wa paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…