Mfalme huyo aliripotiwa kuondoka Mali na msafara wa watu 60,000. Alibeba ufalme wake wote na maafisa wake , wanajeshi, watumbuizaji , madereva wa ngamia na watumwa 12,000 mbali na idadi kubwa ya mbuzi , kondoo na chakula. Ulikuwa mji uliokuwa ukipitia katika jangwa.