3. Maonyesho ya biasharaUnapokuwa katika maonyesho ya kibiashara ni rahisi kwako kugawa “business card” kuliko kumuandikia mtu mmoja mmoja mawasiliano yako.
4. Hukufanya uwe kitaaluma (Professional) zaidi“Business card” husaidia kutambulisha kampuni kwa watu wenye taaluma mbalimbali na hii huthibitisha kuwa kazi zako pia hufanyika kitaaluma zaidi.
6. Husaidia kujitangaza katika shughuli yako“Business card” huwa na maelezo ambayo huelezea shughuri uzifanyazo na hii husaidia watu kujua vitu unavyovifanya.