Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ha ha ha aise, Burigi oyeeeeWelcome,utapiga nyungu mpaka utasahau rona ilipoanzia na kuishia
Panapo majaariwa bro, inaweza kuwa jumapili, tuombe uzimaFureshhh! Tunangojea Idd tu hapa.
tusio na kazi mbona umetusahau muheshimiwa myoyambendi?Mnaoendelea na kazi poleni...
Natamani idondokee jumatatu[emoji2][emoji2]Panapo majaariwa bro, inaweza kuwa jumapili, tuombe uzima
Salama kabisa...tusio na kazi ndio tunatoa pole kwa wenzetu......tusio na kazi mbona umetusahau muheshimiwa myoyambendi?
-----------------
habari za nyumbani kaka mkubwa
watoto hawajambo?
natumai Mungu amekupa baraka ya kizazi
kwa hivyo ukiwa na tabia za wafugaji wa kimasai ni ngumu sana kuvuka daraja la mafanikio?Mafanikio yoyote makubwa mara nyingi yanaanza kwa kuweka nguvu zote na uwezo wako wote sehemu moja kwanza. Hii ndiyo kanuni mojawapo rahisi ya kuweza kufikia mafanikio makubwa unayoyataka na kuwa mtu wa tofauti kabisa. Acha kujihusisha na mambo mengi sana. Fanya jambo moja na matokeo yake yatakuwa makubwa kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23] ili week iwe fupi eehNatamani idondokee jumatatu[emoji2][emoji2]