D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
huku tukiwa na matumaini ya kwamba siku moja na sisi tutavuka kizingiti hicho cha kutokuwa na kaziSalama kabisa...tusio na kazi ndio tunatoa pole kwa wenzetu......
huku tukiwa na matumaini ya kwamba siku moja na sisi tutavuka kizingiti hicho cha kutokuwa na kaziSalama kabisa...tusio na kazi ndio tunatoa pole kwa wenzetu......
Kabisaaahuku tukiwa na matumaini ya kwamba siku moja na sisi tutavuka kizingiti hicho cha kutokuwa na kazi
Uonevu tu....Umekiuka masharti ya Lockdown?
Tulia tukuchapeView attachment 1454376
Poleni wakulima wote...
Mungu atulinde na corona...
Mungu atupe afya na uzima...
Mungu awaponye wagonjwa wote....
Ukiomba kazi kwenye mashirika makubwa kwa sasa wanakuomba na akaunti zako zote za mitandao. Halafu wanachimbua huko weeee. Wanasema kuwa kwenye mitandao huko ndiyo hasa kuna uhalisia wa watu kwa sababu watu hujiachia sana wakidhani wako huru kumbe sivyo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Smart kid !
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]