moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hatari sanaUkiomba kazi kwenye mashirika makubwa kwa sasa wanakuomba na akaunti zako zote za mitandao. Halafu wanachimbua huko weeee. Wanasema kuwa kwenye mitandao huko ndiyo hasa kuna uhalisia wa watu kwa sababu watu hujiachia sana wakidhani wako huru kumbe sivyo.
Farouz......"Diamond ni mwanamuziki wa kawaida sana.
Nadhani Harmonize atakuja kuwa mwanamuziki mkubwa kuliko Diamond"--- FeruzView attachment 1456846
Aachilie watu watoke kwenye lockdown. Wanaweza kuchukua hatua za kujilinda wakiwa nje ya lockdown. Milioni za Benki ya dunia si ameshapata? Shida yote hii ya nini sasa?
Safiii[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1456940
Hongera wakulima woote