Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa chafu
FB_IMG_1590162717434.jpeg
 
Man United wameazimia kuwa kusajili beki mpya wa kati kuwa ni suala la kipaumbele kwa dirisha lijalo la usajili huku kocha Ole Gunnar Solskjaer akiamini sasa ana nafasi nzuri Zaidi ya kumnasa beki wa Napoli na Senegali Kalidou Koulibaly, kwa kuwa PSG imeacha kumfuatilia. (Express)
 
Real Madrid na Manchester United huenda wakatakiwa kusubiri mpaka miaka miwili ijayo ili kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland, 19, kwa kuwa mkataba wake wenye kifungu cha bei cha dola milioni 75 unasema anaweza kuuzwa kuanzia 2022 na si chini ya hapo. (Evening Standard)
 
Wakati huohuo, washika bunduki hao wa London wamejiunga na Everton katika mbio za kumsajili kiungo wa Juventus na Ufanransa Adrien Rabiot, 25, huku wakiamini kuwa wakimpata atapata ushirikiano mzuri na mfaransa mwenzake Matteo Guendouzi, 21. (Le10 Sport - in French)
 
Kiungo wa Dortmund na Ujerumani Germany Emre Can, 26, amesema hawezi kujiunga na Manchester United kwasababu "moyo wangu hauwezi kukubali" baada ya kuchezea klabu ya Liverpool. (Bild, via Mirror)
 
Kutokana na umuhimu wa hili pia nimekuwa nikiwafundisha wengine kuweza kumudu kubadili tabia zao mbaya zinazoweza kuwazuia kufikia mafanikio makubwa na kujijengea tabia bora za mafanikio katika maisha yao.
 
Tabia hizi mbaya ninazozizungumzia zinaweza zikawa matumizi mabaya ya pesa, ulevi, uasherati, uvivu, kutokujiwekea akiba, malengo na nyinginezo nyingi ambazo kwa vyovyote vile ni kikwazo kikubwa katika kufikia mafanikio makubwa.
 
Back
Top Bottom