Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Je, umeshawahi kujiuliza kwa nini mara kwa mara huwa inatokea unajikuta huna pesa na hata pia ‘account’ yako nayo inakuwa haina kitu? Pengine umekuwa ukiuumiza kichwa na kujiuliza ni wapi ulipokosea hasa? Kitu ambacho umekuwa hujui unakuwa katika hali hiyo wakati mwingine kutokana na tabia ulizonazo.