Kama Unaendekeza Tabia Hizi, Umaskini Kwako Utakuwa Ni lazima.
Tabia tulizonazo mara nyingi ndizo zinajenga maisha yetu na kuweza kukutambulisha au kutupa ishara halisi ya kuwa sisi tunaweza tukawa akina nani baada ya muda fulani. Zipo tabia ambazo tukiwa nazo zinatupa uhakika wa sisi kuwa na mafanikio na zingine tukiwa nazo zinaturudisha nyuma kabisa hadi kwenye umaskini.