myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mliokua kazini poleni
Duh!!Kufurahi muhimu sana....
View attachment 1457531
Kuna nini kwenye hii mpya? Kama hakuna la maana afadhali tu nibaki na hii ya zamani aiseApp mbona inamabadiliko pia?
Fanya ku update
Sijaiangalia kwakweli maana natumia browserKuna nini kwenye hii mpya? Kama hakuna la maana afadhali tu nibaki na hii ya zamani aise
Browser mi ilishanishinda. Labda kama nataka kuweka attachment tu. App ikinishinda huwa nahamia kwenye Tapatalk kwenyewe kabisa.Sijaiangalia kwakweli maana natumia browser
Wamezingua balaa imekua mbayaNimeona watu wanalalamika. Sisi wa App wala hatuoni mabadiliko...
Yaani imekuja ghafla sana aiseeJioni imeshika kasi