Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Ivi izo point zina kazi ganiUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Huo ni mzigo bro...kuna jamaa zako wa Peaky Blinders humo... Itafuteningendako naomba unipe tathmini ya gangs of london
naelekea kuimaliza for life
Minal faidhinnah bro... Kwema?Eid mubarak
Kwema bro... tupeane mwalikoMinal faidhinnah bro... Kwema?
Ahsante tutakaribiaEid mubaraq ndugu zangu... Karbuni sana Kisesa[emoji2] tujumuike na kufurahi pamoja ila tukifata maelezo ya wataalam wa Afya..
Kuzingatia nafasi na kunawa mikono yetu!!!
Iko njema hiyothanks, nilipoona unachelewa kunijibu nimeamua kuishusha....malalamiko baadae
😀😀 Kumbe ulishatoa mwalikoEid mubaraq ndugu zangu... Karbuni sana Kisesa[emoji2] tujumuike na kufurahi pamoja ila tukifata maelezo ya wataalam wa Afya..
Kuzingatia nafasi na kunawa mikono yetu!!!
😀😀Usiku wa Eid...