Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KINACHO SABABISHA HARUFU MBAYA MDOMONIKutokuwa makini na usafi wa kinywa kama vile kupiga mswaki vizuri kunakoacha mabaki ya chakula ambayo huoza na kusababisha harufu mbaya mdomoni. (Wengi hupiga mswaki haraka haraka na kuacha mabaki ya chakula).
 
NAMNA YA KUJILINDA NA HARUFU MBAYA MDOMONI (TIBA)
Kula vyakula vyenye afya na vyakula ambavyo wakati unakula vinaweza kusafisha kinywa vizuri. Kusafisha meno mara kwa mara au kwa uchache mara mbili kwa siku asubuhi na baada ya mlo wa usiku, hii usaidia kuondoa au kujikinga na harufu mbaya mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…