Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200523_231313.jpg
 
Trump amegoma kuhudhuria uzinduzi wa hii picha rasmi ya Obama itakayowekwa White House kama ilivyo desturi kwa marais waliotangulia....
View attachment 1457817
Amesoma alama za nyakati. Obama mwenyewe watu wake wa karibu walishasema kuwa, hakuwa au hana mpango wa kuonana na yule mzushi tena. Huo utamaduni safari hii na ufe tu. 😀
 
Amesoma alama za nyakati. Obama mwenyewe watu wake wa karibu walishasema kuwa, hakuwa au hana mpango wa kuonana na yule mzushi tena. Huo utamaduni safari hii na ufe tu. [emoji3]
Umeona Sleepy Joe na kauli yake kuhusu blacks. Kaanza kuboronga mapemaaaa. Democrats kazi wanayo na wasipoangalia hili jamaa la ajabu ajabu Novemba litawaburuza tena [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeona Sleepy Joe na kauli yake kuhusu blacks. Kaanza kuboronga mapemaaaa. Democrats kazi wanayo na wasipoangalia hili jamaa la ajabu ajabu Novemba litawaburuza tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Yule Joe kila akifungua mdomo anaharibu, ni mtu wa kurekebisha makosa kila siku. Yaani anazichukulia kura za weusi kama halali yake kabisaaa. Watashangaa jamaa litakapowapiga bao la ugoko tena hapo November. 😀 😀
 
Back
Top Bottom