Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1590260220920.jpeg
 
Sasa sijui watasomaje Jamani
Hakuna muda wa kupumzika siku tatu mfululizo mitihani 6?huu utani.

PGM nao ni Moto yaani phys na geog,Tena geography 1..Bora ingekuwa geog2, PCM nako usiseme
Yaani siku moja unapiga kemia na physics halafu kibaya Zaidi wametoka home wanaenda kwenye necta[emoji16]

Watawapasua watoto vichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan nmeishia kutoa chozi tyuuuh maan mziki wa PCM sitakaaa niusahau, tena ile Chem necta f6 2019 wallah watungaji hawaendi mbinguni. Duuuuuh mungu awe na hawa wadogo zetu. Maan ni hatareee San japo ni salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom