Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kufanya x-ray ya sehemu ya juu ya tumbo ‘upper gastrointestinal x-ray’. Picha huonyesha ‘esophagus’, mfuko wa tumbo ‘stomach’ na dudenum. Mgonjwa humeza maji yenye ‘Barium’ ambayo hufanya vidonda kuonekana kirahisi kwenye x-ray.
 
Naongelea meno yale ya mwisho mwisho kila baada ya miezi kadhaa linachipua jipya sasa nauliza tu kwa uzoefu ulionao
Mimi nilishayang'oa yote. Haya ya mbele yakidondokaga ndiyo huwa naweka ya bandia ili kuendeleza libeneke. Hata sasa kuna moja laweza kudondoka anytime. Kuweka jipya ni kimbembe sasa [emoji16][emoji16][emoji16]

Nenda kwa dentist mzuri atakueleza kinachoendelea huko ndani lakini likely sababu ya uandaeitini bado yanaendelea kuota. Vumilia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…