Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1590303416910.jpeg
 
Habari mbaya jirani. Namsoma Stephen Hawking hapa. Nimefika sura ya 9 katika kitabu chake mashuhuri cha Brief History of Time. Anasema kuwa haiwezekani kupunguza spidi ya wakati bila kuongeza spidi yetu. Na mfumo wetu tulionao katika universe hii mshale wa wakati daima unasonga mbele ndiyo maana tunakumbuka mambo yaliyopita na siyo yajayo. Kinadharia, hata hivyo, inawezekana kuwa na mfumo ambao mshale wa wakati unarudi nyuma. Katika mfumo huo tutakumbuka mambo yajayo tu. Hata hivyo mfumo huu utahitaji dhana mpya ya muda - imaginary time (muda dhahnia) na siyo huu muda tuliouzoea. Lakini pia pengine muda huu tulionao ni dhahnia pia kwa maana kuwa ni dhana tu tuliyonayo katika universe yetu hii...

Kwa sasa siku zitaendelea kushika kasi tu kwenda mbele na hatuna la kufanya. Na bahati mbaya sana nasi tunakwenda na kasi hiyo hiyo japo tunakoelekea hatukujui.

Eid njema jirani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1458431
[emoji106][emoji106]
 
Muda

Labda vichwa vijavyo vitapata ufumbuzi wa hii kasi...
 
Hata Hawking mwenyewe kasema kunahitajika akina Einstein wengine waje waunganishe nadharia ya Relativity na Quantum Mechanics pamoja na kuziba mapengo yaliyopo. Hapo ndipo tutakuwa na picha kamili kuhusu chanzo na tabia halisi za muda na space; na kwa nini mfumo mzima uko hivi ulivyo na si vinginevyo.
 
"Ni kweli nadaiwa ila kuna vitu vingine vimeongezeka, nilichokuwa nafikiria kwenye kudaiwa kwangu ni haikuwa halali kwa sababu kuna ujanja ujanja umetumika katika akaunti yangu kwa kutoka milioni 202 bila ya mimi kuhusika, nilikuwa nataka mwanasheria anayejua kucheza na hizi kesi na sio kama naogopa, hata wakiniuzia nyumba zangu sawa" ameeleza Mzee Yusuph
 
Back
Top Bottom