andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wachochea moto....ila mzee don hata kama utamletea ishu ya uchochezi basi anakuja na jibu la kuzidisha utani...
hahahaaaa jamaa ni wa ajabu sana....
utasikia wasukuma kwa ushambaaaa....picha kubwa mbele
ukimvamia unaweza kudhani ni muhuni fulani asiyekuwa na muelekeo wowote wa kimaisha..........ngoja ashushe andiko la ukwelini ndio utajua balaa lake.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamaa ni akili kubwa sana yule, tunajivunia kuwa nae hapa, wenye hadhi yake wamejaa dharau utadhani wamepewa ticket ya kuishi milele na kuangalia misambwanda bure hapa duniani na Mwenyezi Mungu.
Umenitelekeza tu😌Mbona yalikuwa mazur yamekuwaje mabaya tena
Ni vipi na wewe ungekuwa na dharau kama wale wengine kisa tu...!!!ukimvamia unaweza kudhani ni muhuni fulani asiyekuwa na muelekeo wowote wa kimaisha..........ngoja ashushe andiko la ukwelini ndio utajua balaa lake.
shimba angelikuwa mpenda kuandika angelikuwa level moja na mshana junior.....
babu fanya ulale.....the happiness ameachwa na mjukuu wako🐟🐟🐟🐟Ni vipi na wewe ungekuwa na dharau kama wale wengine kisa tu...!!!
Uwepo wenu hapa ni faraja na heshima tuipatayo akina sisi kupitia kwenu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]babu fanya ulale.....the happiness ameachwa na mjukuu wako[emoji226][emoji226][emoji226][emoji226]
Binti mvumilivu nakusalimia kwa upendo ulio tukuka[emoji137][emoji137][emoji137]Mkorea eeh, ile my ahjusi(My mister) hata haikuniliza[emoji51][emoji51]....Vipi kuhusu Mother ninunue leso ngapi?
mhhhhhh wewe mwanamke umeajiriwa jeshini kikosi cha macomando?Mkorea eeh, ile my ahjusi(My mister) hata haikuniliza😬😬....Vipi kuhusu Mother ninunue leso ngapi?
mother sijaiangalia.....lakini wasemavyo wenyewe ununue sanitizerMkorea eeh, ile my ahjusi(My mister) hata haikuniliza😬😬....Vipi kuhusu Mother ninunue leso ngapi?
Duh!!
✔✔[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamaa ni akili kubwa sana yule, tunajivunia kuwa nae hapa, wenye hadhi yake wamejaa dharau utadhani wamepewa ticket ya kuishi milele na kuangalia misambwanda bure hapa duniani na Mwenyezi Mungu.